TANZIA: Padri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Afariki Dunia

Padri Monsinyori Deogratias Hukumu Mbiku wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam afariki Dunia. Taarifa za kifo chake imetolewa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi. Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Monsinyori Deogratias Hukumu Mbiku